Lugha ya Kiswahili hufundishwa katika viwango vyote vya shule za msingi licha ya kuwa ni lugha ya taifa nchini Kenya. Lugha hii hutumiwa kukuza na kuendeleza umoja na uzalendo. Kadhalika, Kiswahili hutimika katika shughuli za kukuza uchumi, mtu kujiendeleza kibinafsi na kukuza tamaduni zetu
Reviews
There are no reviews yet.