About Course
Lugha ya Kiswahili hufundishwa katika viwango vyote vya shule za msingi licha ya kuwa ni lugha ya taifa nchini Kenya. Lugha hii hutumiwa kukuza na kuendeleza umoja na uzalendo. Kadhalika, Kiswahili hutimika katika shughuli za kukuza uchumi, mtu kujiendeleza kibinafsi na kukuza tamaduni zetu. Pamoja ha hayo, husaidia kuimarisha usawa baina ya jamii na huchangia katika ustawishaji wa uhusiano na ujirani wa watu wa Afrika Mashariki, Kati na mataifa mengine ya ulimwengu
Course Content
SARUFI
-
Somo la 1: Ngeli
-
Somo la 2: Ngeli na vivumishi vya sifa
MSAMIATI
KUSIKILIZA NA KUONGEA (sehemu ya kwanza)
KUSIKILIZA NA KUONGEA (sehemu ya pili)
KUANDIKA (Insha)
KUSOMA: MITUNGO
KUSOMA: UFAHAMU
Student Ratings & Reviews
No Review Yet